
TETESI ZA USAJILI BONGO: Singida yatua kwa kitasa cha Asec
KLABU ya Singida Black Stars, iko katika mazungumzo ya mwisho ya kupata saini ya beki wa kulia wa Asec Mimosas, Ande Cirille Habib. Nyota huyo inaelezwa tayari yupo nchini ili kukamilisha uhamisho wake na endapo dili lake litakamilika, basi atakuwa ni mchezaji wa tatu kujiunga na miamba hiyo baada ya beki wa kati, Anthony Tra…