Wageni wa TCA waibamiza Timu ya Taifa leaders

WAKATI Ligi ya mizunguko 20 ya Caravans T20 ikihitimisha hatua ya makundi katika viwanja mbalimbali jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma, kulifanyika mechi kali ya wakali wa mchezo huo mwanzo mwa juma hili. Mechi hiyo iliyoandaliwa na chama cha kriketi nchini(TCA), iliwakutanisha nyota ya timu ya Taifa na wachezaji wa kigeni waliong’ara kwenye ligi….

Read More

Madereva 25 kuchuana Tanga | Mwanaspoti

IDADI ya madereva na waongozaji inatarajiwa kuongezeka maradufu na kufikia 25 wakati mpango wa kuwashirikisha madereva zaidi kutoka Kenya ukiendelea kabla ya mbio hizo kutimua vumbi mkoani Tanga, Julai 21, mwaka huu. Kwa mujibu wa waandaaji wa mbio hizo, Mount Usambara Club, awali ni madereva 15 pekee walithibitisha kushiriki mbio hizo, lakini idadi hiyo sasa…

Read More

SPOTI DOKTA: Mvunjiko wa pua wa Mbappe uko hivi

KATIKA mchezo wa nusu fainali ya Euro 2024, juzi Jumanne nchini Ujerumani, miamba ya soka barani Ulaya Ufaransa ilitupwa nje ya mashindano ikiwa na staa wake mwenye mvunjiko wa pua, Kylian Mbappe. Yalikuwa ni matoke mabaya kwa timu hiyo ambayo ndio walikuwa wa kwanza kutikisa nyavu, lakini baadaye kibao kiligeuka wakajikuta wakichapwa mabao 2-1. Siku…

Read More

Aziz KI amaliza utata Yanga, Baleke vipimo freshi

WAKATI Jean Baleke akianza rasmi tizi na Yanga leo, kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo, Stephane Aziz KI amemaliza utata juu ya hatma ya kusalia katika timu hiyo au kuondoka baada ya kutua alfajiri ya kuamkia leo kisha saa 8 mchana amezungumza na Wanayanga ‘laivu’ kusisitiza bado yupo sana Jangwani. Aziz aliyezua sintofahamu baada ya kudaiwa kutosaini mkataba…

Read More

Mgambo apigwa na wamachinga, akimbilia kanisani

Mwanza. Askari anayedaiwa kuwa wa Jeshi la Akiba maarufu mgambo ambaye jina lake halikupatikana amekimbilia kanisani kunusuru maisha yake baada ya kushambuliwa na wafanyabiashara ndogondogo maarufu Wamachinga. Tukio hilo limetokea leo Jumatano Julai 10, 2024, eneo la Soko la Buhongwa jijini Mwanza, wakati mgambo hao walipochukua matunda ya Wamachinga wanaofanya biashara eneo hilo. Katika eneo…

Read More

Simba yamsajili mrithi wa Kapombe

SIMBA imegusa kila eneo msimu huu isipokuwa mlinda mlango tu hii ni baada ya kukamilisha usajili wa beki, Kelvin Kijiri kutoka Singida Fountain Gate. Wanamsimbazi hao wamesafisha kikosi chao kilichoshindwa kutwaa mataji kwa misimu miwili mfululizo huku wakisajili damu changa kwa kugusa kila eneo. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Simba kimeliambia Mwanaspoti kuwa Kijiri…

Read More

Yamal hakuanza leo kuwadhuru Wafaransa

MUNICH, UJERUMANIKINDA wa miaka 16, Lamine Yamal, ameiongoza timu ya taifa ya Hispania kutinga fainali ya michuano ya Mataifa ya Ulaya akifunga bao lake la kwanza la michuano hiyo kwa staili ya aina yake wakati kikosi cha kocha Luis de la Fuente kikiibuka kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Ufaransa ya Kylian Mbappe mjini…

Read More