Khan, Whyte wamjaza Tyson | Mwanaspoti
MABONDIA Amir Khan na Dillian Whyte wametoa mtazamo wa pambano la marudiano baina ya mabondia Tyson Fury na Oleksandr Usyk linalotarajiwa kufanyika Desemba, mwaka huu, Saudi Arabia. Kahn anakiri ugumu wa Fury kumpiga Usyk, lakini kama atajiandaa vyema atalipa kisasi kwani ana uwezo wa kumpiga mpinzani wake huyo. Whyte kwa upande wake amemtaka Fury kutojiamini…