
MIRATHI YA HANS POPE: Baba, mtoto yaamriwa wakamatwe
MAHAKAMA Kuu iliyopo katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Masuala ya Familia (IJC) Temeke, Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Z.H. Poppe Ltd, Caeser Hans Poppe na mwanaye Adam Caeser HansPoppe, kwa kuidharau. Mahakama hiyo imeelekeza Caeser na Adam ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo wakamatwe…