
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Pacome kuanzia benchi msimu ujao?
MOJAWAPO wa maswali magumu kwa sasa ni kujua nani ataanza katika kikosi cha kwanza cha Yanga kati ya Pacome, Maxi, Aziz Kİ, Dube na Chama. Wote wanaonekana kuwa wachezaji bora. Wote wana sifa za kuanza kwenye kikosi cha kwanza. Yanga wameendelea kuimarika kila kukicha. Yanga wamezidi kuwa bora. Inaonekana ni kama wamesajili wachezaji wengi bora…