KAKOLANYA: Chama? Subirini mtaiona Yanga

MASTAA kung’oka kutoka Simba kwenda Yanga imekuwa hali ya kawaida na inaendelea kufanyika mwaka hadi mwaka, na mojawapo ya sajili za aina hiyo zilizotingisha ilikuwa ni Haruna Niyonzima kusajiliwa na Simba akitokea Yanga. Usajili huo uliwachefua mashabiki wa Yanga hadi kufikia hatua ya kuchoma jezi ya staa huyo wa Rwanda, wakiamini kwamba hakuwatendea haki bila…

Read More

Mambo ni moto…. Yanga yaijibu Simba

BAADA ya dili la kumpata Yusuf Kagoma ili kuongeza nguvu eneo la kiungo kushindikana na nyota huyo kutambulishwa Simba jana, Yanga imejibu mapigo kwa kushusha kiungo mwingine atakayecheza nafasi hiyo. Ipo hivi; Yanga ilikuwa ya kwanza kumfuata Kagoma aliyeitumikia Singida Fountain Gate msimu uliopita ili kumpa mkataba, lakini wakati ikiendelea kujadili juu ya ishu ya…

Read More

SAKILU: Kamba ndiyo itaamua hatima yangu Olimpiki

MWANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Jackline Sakilu ni miongoni mwa nyota ambao wanapewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika mashindano ya Olimpiki ambayo yatafanyika mwezi huu Paris Ufaransa. Sakilu ambaye ni mwanariadha wa mbio za kilomita 42 anatokea katika timu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwa ni miongoni mwa wanariadha wanne watakaokwenda kushiriki…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Gift kusajiliwa Coastal Union, Masumbuko kuibukia Geita

KATIKA kujenga kikosi bora cha ushindani, uongozi wa Coastal Union upo kwenye hatua za mwisho kunasa saini ya kiungo raia wa Uganda, Gift Abubakar Ali kutoka Proline FC. Kiungo huyo ambaye amewahi kucheza KCCA ya Uganda na Uganda Police, yupo kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba na Coastal.                                          PAMBA Jiji ipo katika hatua za…

Read More

Simba kuachana na kipa | Mwanaspoti

SIMBA Queens msimu ujao haitaendelea na kipa wa timu hiyo, Zubeda Mgunda baada ya kumaliza mkataba mwishoni mwa msimu huu. Kipa huyo alisajiliwa na Simba mwaka 2018 akidumu kikosini hapo kwa takribani misimu sita na kuiwezesha timu hiyo kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) mara nne. Inaelezwa sababu ya kuondolewa kikosini hapo ni…

Read More

Wanariadha waiangukia Serikali maandalizi duni, vifaa

KUKOSEKANA kwa maandalizi mazuri ikiwemo kambi na vifaa bora vya mazoezi kumewaibua baadhi ya wanariadha wa Tanzania ambao wameishauri Serikali kuingilia kati na kuhakikisha changamoto hizo zinafanyiwa kazi. Baadhi ya wanariadha hao wakizungumza baada ya kushiriki mbio za Lake Victoria Marathon zilizofanyika juzi jijini Mwanza, wamesema Tanzania ina wanariadha wengi lakini wanakosa maandalizi mazuri ikiwamo…

Read More