
Klabu ya Young Africans kukutana na Kaizer Chiefs FC Afrika Kusini
Klabu ya Young Africans Sc imethibitisha kuwa itashiriki katika mchuano wa kwanza wa Kombe la Toyota dhidi ya Kaizer Chiefs FC ya Afrika Kusini utakaochezwa kwenye Uwanja wa Toyota mjini Bloemfontein, Afrika Kusini mnamo tarehe 28 Julai 2024. Yanga Sc inayonolewa na Miguel Angel Gamondi itakabiliana na aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Nasreddine Nabi ambaye…