BAJANA: Ishu ya Simba  ilikuwa siriazi

DIRISHA kubwa la uhamisho linaendelea kushika kasi kwa klabu mbalimbali zikiwamo za Ligi Kuu Bara hasa Simba, Yanga na Azam FC ambazo zimekuwa gumzo zaidi kutokana na sajili za kibabe ambazo zimekuwa zikifanya tangu dirisha hili limefunguliwa. Kati ya mijadala mikubwa kwa mashabiki kila kona kuanzia kwenye mitandao ya kijamii hadi vijiwe vya kahawa, ni…

Read More

Mil 50 Lina Tour zavutia gofu Arusha  

WACHEZA gofu ya kulipwa na ridhaa wanaanza kuondoka leo kwenda Arusha kwa ajili ya kusaka kitita cha Sh50 milioni ambazo ni zawadi kwa washindi wa raundi ya tatu ya Lina PG Tour itakayoanza Alhamisi hii kwenye viwanja vya Arusha Gymkhana jijini humo. Wakizungumza na Mwanaspoti kwa nyakati tofauti wikiendi iliyopita, wacheza gofu kutoka klabu za…

Read More

Haya ndio maajabu ya beki mpya Yanga, Boka

BEKI aliyesajiliwa na Yanga, Chadrack Boka kutoka FC Lupopo ya DR Congo, inaelezwa anapokuwa uwanjani ni mmyumbulikaji katika kufanya majukumu zaidi ya nafasi yake na pia ana kasi na nguvu. Shuhuda wa hilo ni beki wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ aliyesema baada ya kukutana naye kwenye mechi ya ligi kuu,…

Read More

Buswita bado yupo Namungo | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji, Pius Buswita amekata mzizi wa fitina kwa kuamini kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga Namungo akimaliza uvumi kwamba alikuwa anaachana na timu hiyo ili atue kwingine. Nyota huyo wa zamani wa Yanga, alikuwa akiwaniwa na Dodoma, JKT Tanzania na Mashujaa, lakini akaamua kusalia kwa Wauaji wa Kusini baada ya kuvutiwa na ofa …

Read More

Azam FC haina papara, mambo kimyakimya

AZAM inafanya mambo kimyakimya kwani tayari ilishatangulia kambini jijini Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya kabla ya kesho kwenda Zanzibar kuendeleza kambi hiyo na baadae kupaa hadi Morocco na ikirudi nchini itakuwa na kazi ya kusaka mataji katika michuano ya  msimu wa 2024-2025. Awali Azam ilikuwa iondoke Dar es Salaam leo, lakini ikasogeza mbele…

Read More

Mastaa Simba SC waahidi mazito, Mo avunja makundi

TULIENI. Ndivyo mastaa wa Simba walivyotoa ahadi mbele ya kikao kizito kilichoitishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed ‘Mo’ Dewji’ kabla ya jioni ya leo kusepa kwenda kambini mji wa Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano. Simba inaondoka kwenda Misri kuanza safari mpya ya kimageuzi chini…

Read More