
Mollel afunika Lugalo Open kwa Mapro
NUSU Mollel wa Arusha ndiye kinara wa mashindano ya wazi ya gofu ya Lugalo (Lugalo Open) baada ya kupiga mikwaju 147 katika michuano ya siku mbili iliyomalizika kwenye viwanja vya Lugalo jijini mwishoni mwa juma. Mollel aliwashinda wapinzani wake wa karibu Frank Mwinuka na Hassan Kadio kwa mikwaju minne baada ya wachezaji hao wawili kufungana…