
TETESI ZA USAJILI BONGO: Makambo kutua Tabora United, Lyanga atajwa KenGold
NYOTA wa zamani wa Yanga aliyekuwa akikipiga Al Murooj ya Libya, Heritier Makambo anatajwa kuanza mazungumzo na Tabora United ili ajiunge na timu hiyo iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita. Inadaiwa kuwa mazungumzo ya pande hizo mbili yanaendelea vyema na huenda akatua nchini. WINGA wa zamani wa Azam FC, Ayoub Lyanga anatajwa kuwindwa na KenGold baada…