
Moloko, Namungo kuna jambo linakuja
UNAMKUMBUKA yule winga teleza wa zamani wa Yanga, Jesus Moloko? Unaambiwa jamaa baada ya kumaliza mkataba aliokuwa nao na klabu ya Al Sadaqa SC ya Libya, kwa sasa anajiandaa kurudi tena Bongo. Inadaiwa kuwa winga huyo aliyeachwa msimu uliopita na Yanga anajiandaa kutua Namungo ambayo imekuwa ikiwasiliana na kufanya naye mazungumzo na Moloko. Mchezaji huyo…