
JKT yaipiga bao Simba | Mwanaspoti
JKT Tanzania imeendelea kuimarisha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano ambapo inaelezwa imemalizana na beki wa kati, Abdulrahim Seif Bausi aliyekuwa Uhamiaji ya Zanzibar aliyewahi kutakiwa na Simba kabla ya maafande hao kuwapiga bao Wekundu waliombeba Abdulrazak Hamza na kumtambulisha juzi. Beki huyo, ambaye ni mtoto wa nyota wa zamani wa kimataifa…