
Maafande wa jeshi kuonyeshana kazi Dar
Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi, (CDF 2024) yanatarajiwa kuanza Julai 20 na kutamatika Julai 30, 2024 ambapo mechi ya ufunguzi itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Akizungumza na waaandishi wa habari Mwenyekiti wa Mashindano, Brigedia Jenerali, Said Hamis Said amesema wamejiandaa vyema na kwamba mashindano hayo yatakuwa ya kuvutia, huku akitaja lengo la…