
Ligi ya Kikapu Dar vita yaanza upya
ILE vita ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) imeanza upya wakati mechi za mzunguko wa pili zikitarajiwa kupigwa kwa watetetezi Dar City kuliamsha mbele ya Ukonga Kings. Mchezo huo wa kibabe, utapigwa kwenye Uwanja wa Don Bosco Oysterbay keshokutwa Jumapili, utafuatiwa na michezo mingine mitano itakayowapa burudani mashabiki wa mchezo wa…