Kaseba, Mandonga kuzipiga Mikoani | Mwanaspoti

BINGWA wa zamani wa Kick Boxing wa Dunia, aliwahi pia kutamba kwenye Ngumi za Kulipwa nchini, Japhet Kaseba sambamba na Karim Mandonga ni miongoni mwa mabondi watakaozipiga katika mapambano maalumu ya hisani ya kusaidia jamii kupata Bima ya Afya. Mabondia hao na wengine watapambana mapambano hayo ya ngumi yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu yakiandaliwa na…

Read More

Lugalo Open yateka wapiga fimbo 150 Dar

VUMBI na nyasi kutimka katika viwanja vya gofu vya Lugalo, ambavyo vitakuwa ni shuhuda wa miamba  zaidi ya 150 watakaokuwa kuwania tuzo mbalimbali za mashindano ya wazi ya gofu yanayoanza kesho. Yakija kwa jina rasmi la Lugalo Open, ni mashindano ya siku tatu yatakayowashirikisha wacheza gofu ya kulipwa (mapro) na wale wa ridhaa, kwa mujibu…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Gift, Yanga SC kitaeleweka tu

Uongozi wa Yanga huenda ukaachana na beki wa kati wa kikosi hicho Mganda, Gift Fred, licha ya kubakisha mkataba wa miaka miwili. Beki huyo aliyejiunga na Yanga Julai 7, mwaka jana akitokea SC Villa ya Uganda, inaelezwa anaweza kuvunjiwa mkataba uliosalia ambao utafikia tamati Juni 30, 2026 ili kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni ambao…

Read More

TETESI ZA USAJILI: Gift, Yanga SC kitaeleweka tu

Uongozi wa Yanga huenda ukaachana na beki wa kati wa kikosi hicho Mganda, Gift Fred, licha ya kubakisha mkataba wa miaka miwili. Beki huyo aliyejiunga na Yanga Julai 7, mwaka jana akitokea SC Villa ya Uganda, inaelezwa anaweza kuvunjiwa mkataba uliosalia ambao utafikia tamati Juni 30, 2026 ili kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni ambao…

Read More

Mwamuzi afariki akichezesha mechi | Mwanaspoti

Mkoa wa Songwe umeendelea kukumbwa na matukio ya vifo vya wanamichezo wakiwa uwanjani baada ya Julai 2, 2024 mwamuzi Hedman Mwashoga kuanguka na kufariki. Mwamuzi huyo alikuwa akichezesha mechi baina ya Monaco dhidi ya Viena FC kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Msanyila katika mwendelezo wa Ligi ya Kijiji cha Msanyila mkoani humo. Hili ni…

Read More

Mastaa BDL walivyoiteka Taifa Cup

BAADHI ya wachezaji wanaocheza katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) waliocheza katika mikoa mbalimbali kwenye mashindano ya kombe la taifa mjini Dodoma walikuwa kivutio kutokana na kuonyesha ubora. Wachezaji hao ni Haji Mbegu, Ally Faraji (Dar City) walioichezea Unguja na Mwalimu Heri pamoja Evance Davies (Outsiders) walioichezea timu ya Mkoa wa…

Read More

JIWE LA SIKU: Safari ya Chama  ilianzia katika 5-1

BAADA ya muda mrefu wa kuhusishwa kwa muda mrefu kusajiliwa na Yanga, hatimaye mapema Jumatatu, wiki hii Clatous Chama alitambulishwa rasmi na klabu hiyo kama mchezaji wao mpya. Chama amejiunga na Yanga akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake wa miaka miwili na Simba kufikia tamati, Juni 30 mwaka huu na klabu hiyo kuamua kutomuongezea…

Read More

Chama aaga Simba | Mwanaspoti

Kiungo fundi wa mpira, Clatous Chama amefunga rasmi ukurasa wake ndani ya Simba SC baada ya kutoa ujumbe wa kuaga kwenye kikosi hicho cha Msimbazi ikiwa ni siku chache tangu kutangazwa kujiunga na watani wao wa jadi na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC. Chama aliyeitumikia Simba kwa miaka Sita, ameishukuru klabu hiyo…

Read More