
PUMZI YA MOTO: ‘Sumu’ ya Dube ilipoondoka na Kipre
WIKI iliyopita ilikuwa ya moto kwenye harakati za uhamisho kwa wachezaji kwa upande wa klabu ya Azam ya Chamazi Dar es Salaam. Sakata la muda mrefu la Prince Dube lilikamilika baada ya mchezaji huyo raia wa Zinbabwe kutii amri na kulipa ‘pesa za watu’ kama walivyokubaliana kwenye mkataba. Lakini wiki hiyo hiyo Azam FC tena…