Saa mbili za mahojiano ya mwisho Manji Dar

Dar es Salaam. Kukiwa na upepo mkali Jumatano ya Aprili 18, 2024 simu yangu iliingia ujumbe mfupi kutoka kwa aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji akinitaka tuende uwanjani kutazama mechi ya Simba na Yanga. Hivyo ndivyo anaanza kusimulia mwandishi wa habari Zourha Malisa ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Manji aliyezikwa nchini Marekani…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Samatta kumfuata Msuva Saudia

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya PAOK ya Ugiriki, Mbwana Samatta ‘Popat’ inadaiwa anajiandaa kumfuata Saimon Msuva anayecheza soka nchini Saudia Arabia baada ya klabu ya Al Kholood iliyopanda  Ligi Daraja la Pili nchini humo kutuma maombi ya kumtaka nahodha huyo wa Taifa Stars kwa mkopo.                                          Kama dili hilo…

Read More

‘Moyo wa Manji ulikuwa Yanga’

Dar es Salaam. Baada ya mwenyekiti na mfadhili wa zamani wa Yanga Yusuf Manji kufariki Jumamosi iliyopita, aliyekuwa mwanasheria wa timu hiyo, Onesmo Mpinzile ameeleza mengi kumhusu mfanyabiashara huyo. Manji alifariki akiwa hospitalini Florida nchini Marekani ikiwa ni miezi miwili tangu alipofanya mahojiano marefu na Mwananchi Digital akiwa jijini Dar es Salaam ambapo alihudhuria mchezo…

Read More

Mambo matano mahojiano ya mwisho ya Manji na Mwanaspoti

ALIYEWAHI kuwa mwenyekiti na mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji, alifariki dunia juzi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali moja iliyopo Florida, Marekani alikokuwa akiishi, lakini takriban miezi miwili iliyopita alifanya mahojiano na Mwanaspoti jijini Dar es Salaam na kufunguka mambo mengi. Mahojiano ya gazeti hili na Manji yaliyolifanyika Aprili 21, mwaka huu ndiyo yaliyokuwa ya mwisho…

Read More

Manji kuzikwa leo Florida Marekani

Dar es Salaam. Aliyewahi kuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji ambaye alifariki juzi Jumamosi anatarajiwa kuzikwa leo nchini Marekani. Manji alifariki akiwa hospitalini Florida Marekani ikiwa ni miezi miwili tangu alipofanya mahojiano marefu na Mwananchi Dijital akiwa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ambayo mtoto wa marehemu Mehbub Manji amelitumia Mwananchi…

Read More

Dube achimbwa mkwala Ligi Kuu, aishukuru Azam FC

SAA chache tangu Azam FC itangaze kuridhia kumuachia Prince Dube baada ya Mzimbabwe huyo kuomba kuvunja mkataba ili awe huru, nyota huyo amefanya mahojiano mafupi na Mwanaspoti na kufunguka kuwa uamuzi aliouchukua kuiacha timu hiyo ni sahihi na kuwataka mashabiki wasubiri waone mambo msimu ujao. Klabu ya Azam, ilitoa taarifa Ijumaa usiku kuwa imeridhia ombi…

Read More

Huyu ndiye Yusuf Manji wa 1975 mpaka 2024

Dar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo la Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu. Manji (49), ambaye alifariki dunia saa sita usiku akiwa miezi miwili iliyopita alifanya mahojiano marefu na gazeti hili ambapo alizungumza mambo mengi kuhusiana…

Read More

Dube achimbwa mkwara Ligi Kuu, aishukuru Azam FC

SAA chache tangu Azam FC itangaze kuridhia kumuachia Prince Dube baada ya Mzimbabwe huyo kuomba kuvunja mkataba ili awe huru, nyota huyo amefanya mahojiano mafupi na Mwanaspoti na kufunguka kuwa uamuzi aliouchukua kuiacha timu hiyo ni sahihi na kuwataka mashabiki wasubiri waone mambo msimu ujao. Klabu ya Azam, ilitoa taarifa Ijumaa usiku kuwa imeridhia ombi…

Read More