
Madina Idd aliona taji la gofu Zambia
KUNA kila dalili ya Mtanzania Madina Iddi kushinda taji la ubingwa wa wazi la mashindano ya kimataifa ya gofu mjini Lusaka Zambia mwaka huu. Akiwa ni mchezaji kutoka klabu ya Gymkhana ya Arusha, Madina aliwaacha mbali sana wapinzani wake kutoka Zambia, Kenya, Uganda na Botswana, kwa jumla ya mikwaju tisa hadi mwisho wa raundi ya…