Banda asikilizia Qatar, Sauzi na Tanzania

BEKI Mtanzania aliyekuwa akikipiga katika klabu ya Richards Bay ya Afrika Kusini, Abdi Banda amesema kwa sasa anahitaji kusaka changamoto mpya ya ushindani katika timu nyingine. Banda amesema tayari ana ofa tatu mezani japokuwa hakutaja majina ya timu, ila Mwanaspoti linafahamu anazungumza na Singida Black Stars, timu kutoka Qatar na Afrika Kusini. “Mkataba wangu uliisha…

Read More

SIO ZENGWE: Sakata la Fei Toto, Dube lifikirishe mamlaka

KIPINDI cha mavuno kwa wachezaji na mawakala au mameneja wao ndio kinaendelea duniani kote kwa sasa baada ya msimu wa soka wa 2023/24 kumalizika, hivyo kuruhusu wachezaji waanze kuangalia wapi kuna majani ya kijani zaidi. Lakini wapo wanaouguzia machungu ya kusaini mikataba kiholela baada ya kuhakikishiwa malipo mazuri ya bonasi ya kusaini (sign-on fee), mshahara…

Read More

Yusuf Manji afariki dunia | Mwanaspoti

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia usiku wa jana huko Florida, Marekani. Mtoto wa marehemu, Mehbub Manji, amethibitisha kwa Mwanaspoti kuwa Manji amefariki saa 6 usiku wa kuamkia leo.  Endelea kutembelea tovuti na mitandao ya kijamii ya Mwanaspoti kupata taarifa zaidi juu ya…

Read More

OPAH Kwake ni soka na biashara

MIONGONI mwa wachezaji wanaolijua lango vizuri kwa upande wa soka la wanawake, Opah Clement yupo kwenye listi hiyo. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Simba Queens kwa sasa anaichezea klabu ya Besiktas inayoshiriki Ligi Kuu ya wanawake nchini Uturuki na ndio nahodha wa timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars. Hadi anaondoka nchini kujiunga na klabu…

Read More

Wabongo, Wakenya wakabana magari | Mwanaspoti

ITAKUWA ni mchuano mkali kati ya madereva wa Tanzania na Kenya katika mwezi huu wakati harakati za kuwaleta nchini washiriki kutoka Mombasa zikifikia hatua ya kuridhisha. Kwa mujibu wa waandaji kutoka Klabu ya Mount Usambara, kuna mchakato wa kuwaleta Tanga madereva bingwa kutoka Mombasa nchini Kenya na kwa mujibu wa mwenyekiti wa klabu hiyo, Hussein…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Yanga, Pacome kumaliza utata

MABOSI wa Yanga wanadaiwa wapo kwenye mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya kiungo nyota wa timu hiyo, Pacome Zouzoua. Kiungo mshambuliaji huyo raia wa Ivory Coast alijiunga na timu hiyo Julai 19 mwaka jana akitokea Asec Mimosas ya nchini kwao na amebakisha mkataba wa mwaka mmoja, hivyo kuzivutia klabu mbalimbali za ndani na nje ya nchi…

Read More

KMC yaipiga bao Simba kwa Stopper

KLABU ya KMC imekamilisha uhamisho wa aliyekuwa beki wa kati wa KVZ ya Zanzibar, Salum Athuman ‘Stopper’ baada ya nyota huyo aliyekuwa pia anawindwa na Simba kuamua kujiunga na miamba hiyo ya Kinondoni kwa mkataba wa miaka miwili. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimeliambia Mwanaspoti kwamba, beki huyo tayari amekamilisha uhamisho wake na wakati…

Read More

Kigoma, Mara zabeba ndoo Taifa Cup

TIMU ya kikapu ya wanaume ya Kigoma na wanawake ya Mara zimeibuka mabingwa wa mashindano ya Kikapu ya Taifa (CRDB Taifa Cup) yaliyomalizika juzi Jumamosi usiku kwenye Uwanja wa Chinangali, jijini Dodoma. Kigoma ilishinda taji hilo kwa kuifunga Dodoma kwa pointi 58-54, ilihali Mara ilipata ushindani mkali kuifunga Unguja kwa pointi 57-56 katika mchezo wa…

Read More