
JIWE LA SIKU: Mambo manne kuibeba Simba msimu ujao
VIONGOZI wa Simba wameanza mchakato wa kukisuka upya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao baada ya kukosa taji la Ligi Kuu Bara kwa misimu mitatu mfululizo na kushuhudia likienda kwa watani wao Yanga ambao nao wameanza kujiimarisha zaidi. Katika kuthibitisha hilo, tayari Simba imeshatangaza kuachana na wachezaji sita, akiwamo aliyekuwa nahodha wa timu hiyo,…