
New Amaan kweupe, Senegal ikiivaa Congo Brazaville CHAN 2024
Licha ya mashindano ya CHAN kuwa na hadhi ya kimataifa, huku yakishirikisha vipaji vya Ligi za ndani kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, Uwanja wa New Amaan unaonekana kuwa na idadi ndogo ya watazamaji. Katika hali hiyo, watetezi Senegal wanatupa tena karata yao ya pili kwenye uwanja huo jioni hii dhidi ya Congo ikiwa ni mechi ya Kundi…