
‘Thank You’ Fountain zinasubiri kocha mpya
WAKATI timu nyingine za Ligi Kuu Bara zikianza heka heka za usajili na kuboresha vikosi vyao kuelekea msimu ujoa, uongozi wa Fountain Gate FC ya Mwanza inasubiri kutambulishwa kwa kocha mpya ambaye ndiye atatoa maoni ya mwisho kwa wachezaji watakaochwa na usajili mpya. Timu hiyo ambayo awali ilijulikana kwa jila la Singida Fountain Gate Juni…