Sengerema yapoteza Sh61 milioni kusuasua ujenzi wa vibanda

Sengerema. Halmashuri ya Sengerema inapoteza zaidi ya Sh61milioini kila mwaka kutokana na kutokukamilika kwa ujenzi wa vibanda ya stendi kuu ya mabasi iliyoko Bukala mjini Sengerema kutokukamilika. Hiyo ni moja ya hoja tano zinazowasilishwa  na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenye kikao cha baraza la madiwani la Halmashauri ya Sengerema. Diwani wa Tabaruka,…

Read More

Yanga yaruhusiwa kusajili baada ya kumlipa Kambole

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limeindolea Klabu ya Yanga zuio la kusajili wachezaji. Yanga ilikumbana na rungu la kufungiwa na FIFA ikikabiliwa na kesi mbili, baada ya kufanya makosa ya kwenye mfumo wa usajili kwa kushindwa kukamilisha taarifa muhimu za mmoja wa wachezaji wake wa zamani kabla ya kuweka sawa na kuondolewa adhabu hiyo. Kesi…

Read More

Tajiri aingilia dili la Mpanzu anayetajwa kutua Simba

RAIS wa Klabu ya AS Vita, Amadou Diaby amekutana na winga wa kikosi hicho, Elie Mpanzu Kibisawala ili kumshawishi aendelee kubaki ndani ya timu hiyo baada ya hivi karibuni kuhusishwa kuhitajika na miamba wa soka nchini, Simba. Winga huyo ni miongoni mwa wachezaji wanaohitajika na Simba katika dirisha hili la usajili ili kuboresha kikosi hicho…

Read More

SPORI DOKTA: EURO 2024 Utimamu wa Pepe uwanjani si mchezo

KIVUMBI cha Fainali za Euro 2024 kinaendelea kutimka kule Ujerumani na sasa michuano hiyo ya Mataifa ya Bara Ulaya imemalizika katika hatua ya makundi na inaingia 16 Bora. Hatua hii inayoanza keshokutwa ndiyo yenye msisimko wa kipekee kwani timu zote zimekuwa na historia nzuri katika soka wakiwamo wenyeji Ujerumani, England, Ufaransa, Hispania na Ureno. Katika…

Read More

Mwamnyeto apewa miwili Yanga | Mwanaspoti

NAHODHA wa Yanga, Bakar Mwamnyeto ameongeza mkataba wa miaka miwili ili kukitumikia kikosi hicho, huku klabu hiyo ikitoa Sh300 milioni kama pesa ya usajili huo. Mwamnyeto aliyekitumikia kikosi hicho kwa misimu minne huku mitatu mfululizo ikiwa na mafanikio akiwa kama nahodha akitokea Coastal Union, alikuwa ni miongoni mwa nyota waliomaliza mikataba na kulikuwa na sintofahamu…

Read More

Mastaa wapya Azam waanza kupigishwa tizi

NYOTA wapya wa Azam FC, Yoro Mamadou Diaby kutoka Yeleen Olympique ya Mali, Adam Adam (Mashujaa) na Wacolombia Jhonier Blanco (Aguilas) na Ever Meza kutoka Leonnes wameanza kupigishwa tizi mapema ikiwa ni siku chache tu kabla ya kuripoti kambini Chamazi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao. Ever Meza Wachezaji hao ambao tayari wamejumuishwa katika…

Read More

Tajiri aingilia dili la Mpanzu Simba

RAIS wa Klabu ya AS Vita, Amadou Diaby amekutana na winga wa kikosi hicho, Elie Mpanzu Kibisawala ili kumshawishi aendelee kubaki ndani ya timu hiyo baada ya hivi karibuni kuhusishwa kuhitajika na miamba wa soka nchini, Simba. Winga huyo ni miongoni mwa wachezaji wanaohitajika na Simba katika dirisha hili la usajili ili kuboresha kikosi hicho…

Read More

Simba yamfuata beki mpya Yanga

DILI la Simba limebuma baada ya kutaka kumnyampia beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka, ambaye hawakujua kama tayari ameshamalizana na Yanga. Boka ni mchezaji wa kwanza kusaini Yanga baada ya uongozi wake kukubali kumuuza mchezaji huyo ambaye alibakiza mkataba wa mwaka mmoja na kikosi hicho. Kupitia Mwanaspoti iliandikwa kuwa, Mkongomani huyo atakwenda kuwa mrithi wa…

Read More

Simba yatua kwa viungo wawili Yanga

BAADA ya mazungumzo ya muda mrefu, Simba Queens inadaiwa kufanikiwa kuwashawishi viungo wawili wa Yanga Princess ambao ni wachezaji muhimu kwenye kikosi hicho, Saiki Atinuke na Precious Christopher ili waitumikie msimu ujao wa Ligi Kuu ya wanawake. Wachezaji hao wamemaliza mikataba na Yanga na timu hiyo haijawaita mezani kuzungumza nao juu ya mikataba mipya, jambo…

Read More