
Bocco aisapraizi Simba Dar | Mwanaspoti
SIKU chache tu baada ya kupewa ‘Thank You’ na Simba, aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco amewasapraizi Wekundu wa Msimbazi hao baada ya kupata timu mpya wakati wenyewe wakijiandaa kumuaga rasmi. Bocco anayeshikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu Bara akifunga mabao 154 katika misimu 16 akiipiku rekodi iliyokuwa…