
Mastaa kibao Tabora United kuchapa lapa
LICHA ya Tabora United kubaki Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao, lakini inaelezwa mastaa wengi wa kikosi hicho huenda wakaondoka na kutafuta changamoto sehemu nyingine, huku sababu kubwa ikielezwa kuwa ni ukata unaoikumba timu hiyo. Habari za kuaminika kutoka ndani ya timu hiyo zimeiambia Mwanaspoti kwamba baadhi ya nyota ambao wataondoka ni kipa raia wa…