
PUMZI YA MOTO: Maandamano ya Kenya na somo zito Yanga
JIRANI zetu Kenya wamekumbwa na maandamano makubwa yanayoongozwa na makundi ya vijana wanaopinga muswada wa sheria ya fedha uliowasilishwa bungeni na serikali inayoongozwa na Rais William Ruto. Ukichambua kwa kina kinachoendelea nchini humo utaona pande zote mbili ziko sahihi kwa wanachofanya. Wanaoandamana wanapinga muswada huo kwa sababu utakwenda kuathiri maisha moja kwa moja kwa kupandisha…