
TETESI ZA USAJILI BONGO: Yanga kurudi kwa Yacouba Songne, Kagere bado yupo sana
KLABU ya Yanga huenda ikamsajili tena aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne kwa ajili ya msimu ujao. Nyota huyo aliyejiunga kwa mara ya kwanza na Yanga mwaka 2020 akitokea Asante Kotoko ya Ghana, huenda akajiunga na timu hiyo huku akiwahi kucheza klabu mbalimbali zikiwemo Ihefu na AS Arta Solar7. NAMUNGO…