
ANITHA; Fundi Bomba anayezitamani Simba, Yanga
LICHA ya Alliance Girls kufanya vibaya katika Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) iliyomalizika hivi karibuni kwa kushika nafasi ya tatu kutoka mkiani, ikinusurika kushuka daraja, lakini kuna baadhi ya nyota wa timu hiyo wameonyesha viwango bora kiasi cha kuanza kuwindwa na klabu kubwa za ligi hiyo. Klabu za Simba Queens, JKT Queens na Yanga Princess…