
Dube amaliza utata Azam FC, ishu na Yanga iko hivi
HABARI mpya ni kwamba Prince Dube ameilipa Azam FC Sh500Mil na sasa yuko huru kujiunga na Yanga ambayo imekuwa ikihusishwa nae tangu asuse na kuondoka Chamanzi. Mwanaspoti awali liliripoti kwamba Prince Dube ameukana mkataba wake na Azam FC unaoisha 2026 na akaondoka Chamanzi. Staa huyo alikwenda kushtaki kwenye Shirikisho la soka la Tanzania(TFF) na kesi…