
Pamba Jiji yaonywa mapema Ligi Kuu Bara
MAANDALIZI ya Pamba Jiji kwa ajili ya Ligi Kuu msimu ujao wa mwaka 2024/2025 yanazidi kushika kasi, huku mastaa wa zamani na makocha wakiionya kufanya usajili wa kukurupuka utakaoisababisha kushuka daraja msimu wake wa kwanza. Timu hiyo ya jijini hapa tayari imeachana na benchi la ufundi chini ya Mbwana Makatta na Renatus Shija walioipandisha daraja…