
Simba yatesti mitambo Misri, mastaa wapya waanza vizuri
Wachezaji wapya wa Simba, Mohamed Bajaber na Jonathan Sowah wameanza kuonyesha makali yao baada ya kutikisa nyavu katika mchezo wa kirafiki uliochezwa jana dhidi ya Kahraba Ismailia. Katika mechi hiyo ya maandalizi ya msimu ujao wa 2025/2026 Simba iliandika bao la kwanza lililofungwa na Mohamed Bajaber katika kipindi cha kwanza. Bao la pili lilipatikana kipindi…