
Mastaa wa Yanga kufishwa Ulaya, viongozi kuweka rekodi
YANGA inapiga hesabu kuwaficha mastaa wake Urusi kujiandaa na msimu mpya wa kimashindano, lakini iwapo itakwama kabisa basi itatua Sauzi na ikakutana uso kwa uso na kocha wa zamani wa timu hiyo, Nasredine Nabi. Hesabu za kwanza kwa Yanga ni kwenda Urusi kujichimbia kwa maandalizi ikiwa na mualiko wa klabu rafiki ya CSKA Moscow na…