
Makipa janga timu ya taifa
Simba, Yanga na Azam, ni timu ambazo zimekuwa zikitawala soka la Tanzania kwa muda mrefu. Kuanzia mwaka 2008 ambapo Azam FC ilianza kushiriki Ligi Kuu Bara, timu hizi tatu pekee ndizo zimefanikiwa kubeba ubingwa wa ligi hiyo. Katika kipindi hicho cha misimu 16, Azam imebeba mara moja 2013-2014, huku misimu 15 wakigawana Simba na Yanga….