
Zulfa Macho:Ngumi zilivyomgombanisha kiungo wa Yanga na mwanawe
UKIONDOA Mkoa wa Morogoro katika soka kuwa na wachezaji wengi wenye majina makubwa hapa nchini basi itakuwa ngumu kama utashindwa kuutaja Mkoa wa Kigoma ambao umetoa wachezaji wa kutosha kwenye mchezo huo. Achana na Juma Kaseja ambaye alitajwa hadi katika ile nyimbo ya Bongo Fleva iliyowakutanisha wasanii wa Kigoma ‘Kigoma All Stars’, mkoa huo yapo…