
Miaka 130 ya Olimpiki Morogoro
Wanamichezo mbalimbali nchini watashiriki mbio za kilomita 2.5 na kilomita 5 zitakazoanzia kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kuadhimisha miaka 130 ya Olimpiki. Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) ilianzishwa mwaka 1894 na mwaka huu nchi mwanachama zinaadhimisha miaka 130, ambapo Tanzania katika siku hiyoya Olimpiki Jumapili ijayo itaadhimishwa kwa mbio hizo. Akizungumza wakati wa…