
TETESI ZA USAJILI BONGO: Najim kutoka Tabora kwenda Singida BS
SINGIDA Black Star imeweka dau la Milioni 130 ili kuipata saini ya kiungo wa Tabora United Najim Mussa, ikizilaza chali Simba na Azam. Kiungo huyo ambaye bado anamkataba wa mwaka mmoja na nusu na Tabora katika msimu wake wa kwanza Ligi Kuu amecheza kwa mafanikio na kuzifanya timu kubwa tatu kugongana mlangoni zikiwania saini yake….