
JIWE LA SIKU: Ukishangaa ya Simba utayaona ya Tshabalala
SIMBA kwa sasa ipo kwenye presha. Moja haikai, mbili haikai lakini kazi inaendelea. Ni kipindi ambacho kila kitu ndani ya klabu hakina jibu la kueleweka kuanzia kwenye uongozi wa juu kabisa wa bodi, benchi la ufundi, wachezaji hadi wanachama na mashabiki. Ni kipindi cha mpito. Pamoja na mambo yote yanayoendelea, kikubwa zaidi wanachotaka kujua mashabiki…