
RC Chalamila ampeleka mkewe Simba!
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaachana mbavu watu kwa vicheko baada ya kuigawa familia yake pande mbili za Yanga na Simba. RC Chalamila katika kuliweka wazi jambo hilo amesema kwamba kuanzia leo mkewe atakuwa anaishabikia Simba wakati yeye akiendelea kusalia Yanga ambapo kauli yake hiyo iliwafanya watu kuangua kicheko. Hayo yamejiri…