
AKILI ZA KIJIWENI: Ujasiri wa Ouma Coastal uhamie CAF
NIMEPATA stori moja ya kusisimua inayomhusu kocha wa Coastal Union ya Tanga, David Ouma ambaye ameiongoza timu hiyo kumaliza katika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi. Wakati alipojiunga nayo kuchukua mikoba ya Mwinyi Zahera aliyekuwa ametimuliwa, uongozi wa Coastal Union ulimpa Ouma jukumu la kuhakikisha timu hiyo inasalia Ligi Kuu. Lakini kwa mshangao kocha…