
AKILI ZA KIJIWENI: Afadhali sasa, TFF imetambua thamani ya Mbwana Samatta
TAARIFA za Mbwana Samatta kustaafu timu ya taifa ‘Taifa Stars’ zilianza kama utani na baadaye ikaja kubainika kuwa ni kweli nahodha huyo amestaafu. Haijabainika wazi sababu ambazo Samatta anayechezea PAOK ya Ugiriki amezitaja za kuchangia uamuzi huo wa kuiacha Taifa Stars lakini Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa ni kweli wana barua…