Mourinho apewa mwaka Yanga PrIncess
MWANZONI mwa mwezi huu tuliripoti, ishu ya Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Mzambia Charles Haalubono anatarajiwa kutimka kikosini hapo na kumpisha Edna Lema ‘Mourinho’. Sasa habari za uhakika ni kwamba baada ya mazungumzo ya muda mrefu hatimaye Mourinho amekubaliana na viongozi wa timu hiyo kuinoa kwa msimu ujao. Mmoja wa viongozi wa Yanga (jina tunalo)…