
Stars, Zambia haina kujuana leo kazi kazi
STAA wa Taifa Stars, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amewaambia mashabiki kwamba mechi ya leo jioni dhidi ya Zambia katika Uwanja wa Levy Mwanawasa nchini humu; “haina kujuana.” Amesisitiza kwamba anaamini hakutakuwapo na mabadiliko ya kutisha sana kwenye kikosi cha Zambia na wao kama wachezaji wanajua pakuanzia na wameshaifanyia kazi kubwa mechi hiyo ya kuwania kufuzu Kombe…