
TETESI: Biashara Utd ni wao na Nkane
BIASHARA United ina hesabu kali za kushinda mechi mbili za mtoano ‘Play Off’ dhidi ya Tabora United ili kurejea Ligi Kuu na muda huohuo imekuwa kwenye hesabu za usajili. Wakali hao kutoka Mara wanaamini msimu ujao timu yao itacheza Ligi Kuu na tayari wameanza maandalizi ambapo Winga wa Yanga, Denis Nkane ni miongoni mwa mastaa…