
KMKM yapigwa tena, yatema ubingwa ZPL
MAAFANDE wa KMKM, imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika mechi za lala za Ligi Kuu Zanziba (ZPL) na kuutema rasmi ubingwa baada ya jioni ya leo kufungwa mabao 2-1 na KVZ. Watetezi waliokuwa wanalishikilia taji kwa msimu wa tatu mfululizo, walikumbana na kipigo hicho kwenye Uwanja wa Mao A, mjini Unguja ikiwa ni wiki moja…