
Yanga yashangilia upya 7-2 za Mnyama
USHINDI wa jumla ya mabao 7-2 ambao Yanga iliupata katika michezo miwili ya Dabi dhidi ya Simba msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara umeshangiliwa upya katika mkutano mkuu wa mwaka wa klabu hiyo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea wakati wa hotuba ya rais wa klabu…