
Yanga kuja na sapraizi kwenye Mkutano Mkuu, Baleke…
KLABU ya Yanga leo Jumapili inafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka huku ikielezwa kutakuwa na sapraizi ya aina yake kutoka kwa viongozi kabla na baada ya mkutano huo unaofanyikia kwenye Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam kuanza saa 3 asubuhi. Mkutano huo utakaokuwa na ajenda 10 ni wa pili…