
Kiraka Azam huyoo anukia Al Hilal
BAADA ya kumaliza mkataba wa kuitumikia Azam FC, kiraka Edward Charles Manyama anatarajia kutimkia Al Hilal ya Sudan tayari kwa kukipiga huko msimu ujao. Manyama juzi kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook aliwaaga mashabiki, wachezaji na viongozi wa timu hiyo akithibitisha kumaliza mkataba na timu hiyo aliyoitumikia kwa mkataba wa miaka miwili….