ODDS KUBWA, MACHAGUO ZAIDI YA 1000 YAPO HAPA

MECHI za mataifa za kufuzu kombe la Dunia 2026 zinaendelea hii leo ambapo timu kibao zinatafuta ushindi kujiweka sehemu nzuri kabla ya mambo hayajaanza kubadilika. Meridianbet itaanza kuangazia mechi ya Zimbabwe dhidi ya Lesotho majira ya kumi jioni ambapo nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.65 kwa 5.29. Mwenyeji yupo nafasi ya…

Read More

Shangazi afunguka sababu ya kujiuzulu Simba SC

Mbunge wa Jimbo la Mlalo na mjumbe kamati ya bodi ya wawekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo. Shangazi amesema kuwa ameamuandikia Mohamed Dewji, barua ya kumuomba kujiondoa kwenye bodi ya uwekezaji tangu Juni 2 mwaka huu hii ni kutokana na mwenendo…

Read More

Alliance kutibua sherehe za Simba!

LIGI Kuu ya Wanawake inaendelea leo baada ya kusimama tangu Mei 14, mwaka huu, huku Simba Queens ikihitaji ushindi ili kutwaa ubingwa huo ambao waliukosa msimu uliopita mbele ya JKT Queens. Simba Queens itakuwa ugenini leo katika Uwanja wa Nyamagana, Mwanza kuanzia saa 10:00 jioni ikiwakabili wenyeji wao, Alliance Girls ambao ushindi kwao ni wa…

Read More

Geita bado haiamini, waitana fastaa

BAADA ya kushuka daraja kutoka Ligi Kuu msimu huu na kuwa na ukimya kwa takribani wiki moja, uongozi wa Geita Gold umesema umeamua kutulia kwa sasa na kujikita kufanya vikao vya ndani ili kuja na maamuzi sahihi na mipango ya kinachofuata. Timu hiyo ambayo ilidumu Ligi Kuu Bara kwa misimu mitatu tangu 2021/2022 hadi 2023/2024,…

Read More

Kivumbi uchaguzi TWFA Mwanza | Mwanaspoti

KESHO Chama cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mwanza (WFAMZ) kitafanya uchaguzi mkuu kupata uongozi mpya utakaochaguliwa na wapigakura 12, huku kukiwa na mnyukano mkali ambao umefanya kamati ya uchaguzi huo kutoa onyo kali. Nafasi zinazogombewa kwenye uchaguzi huo ni mwenyekiti na Sophia Makilagi anatetea kiti chake akikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Mwenyekiti wa…

Read More

Mghana Singida FG akumbushia deni lake

LICHA ya kurudi kuitumikia Singida Fountaine Gate huku akiwa ameifungulia madai kwa Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA), nyota kiraka raia wa Ghana, Nicholas Gyan ameuomba uongozi wa timu hiyo kumlipa deni analowadai ili mambo yasiwe mengi. Gyan alirudishwa Singida baada ya FIFA, kuipa siku 45 timu hiyo kumlipa deni la ada ya usajili huku…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Simba yasaka beki, Azam yatua Zesco

VIONGOZI wa Simba wameanza harakati za kukisuka kikosi hicho na tayari imeanza kuifukuzia saini ya beki wa Geita Gold, Samwel Onditi. Onditi ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika, wawakilishi wake wamefanya mawasiliano na Simba huku ikielezwa kilichobaki ni kukubaliana maslahi. binafsi kwani mchezaji mwenyewe yupo tayari kujiunga nao. Nyota huyo…

Read More

Biashara United yakaa mguu sawa Bara

WAKATI ikisubiri kumjua mpinzani wake kwenye mchezo wa mtoano kucheza Ligi Kuu, Biashara United imeanza kujifua kuweka utimamu, mbinu na saikolojia sawa ili kuwa tayari kwa pambano hilo. Biashara United itacheza na timu itakayopoteza mchezo wa mtoano kati ya JKT Tanzania na Tabora United na katika mchezo wa kwanza uliochezwa Jumatatu kwenye Uwanja wa Alli…

Read More

Straika la mabao Kotoko laingia rada za Simba

SIMBA wako siriazi na mambo yanakwenda kimyakimya. Mwanaspoti linajua mpaka jana jioni kwa uchache ilishamalizana na majembe mawili. Lameck Lawi (Coastal Union) huyu ni beki. Serge Pokou (Asec) ni kiungo. Lakini hata Yusuph Kagoma (Singida FG) kila kitu kimeshakamilika kwa asilimia kubwa. Ishu ya kocha wako kwenye hatua za mwisho kumalizana na Steve Komphela kutoka…

Read More