
Yahya Mbegu atua Mbeya City
BEKI mahiri wa zamani wa Singida Black Stars, Yahya Mbegu amedaiwa kujiunga na Mbeya City iliyorejea Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao, akiungana na wachezaji wengine aliowahi kukipiga nao Singida na Mashujaa waliotua katika timu hiyo ya Mbeya. Beki huyo wa kushoto ambaye msimu uliopita aliitumikia Mashujaa kwa mkopo inadaiwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja…