TANDIKA JAMVI LAKO NA MERIDIANBET LEO

LEO hii kuna mechi kibao za kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Afrika zinaendelea ambapo mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania, Meridianbet wamekuwekea machaguo uyapendayo. Ingia na ubashiri sasa. Tukianza na mechi hii ya Congo Republic ambaye yupo nafasi ya 5 kwenye kundi atakuwa mwenyeji wa Niger ambaye yupo nafasi ya 3 mchezo utakaopigwa majira ya…

Read More

Mmoja afariki, mwingine ajeruhiwa na simba Ngorongoro

Arusha. Mtu mmoja Mkazi wa Kijiji cha Malambo, wilayani Ngorongoro mkoani hapa, Sironga Mepukori, amefariki dunia kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata alipokuwa akijaribu kupambana na simba aliyevamia shule. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Alhamisi Juni 6, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Kanali Wilson Sakulo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Amesema…

Read More

Gamondi, Yanga mambo bado magumu

MAMBO bado baina ya kocha Miguel Gamondi na mabosi wa Yanga baada ya kushindikana kukutana juzi Jumatano ili kujadiliana juu ya mkataba mpya na sasa kocha huyo anaendelea kula zake bata visiwani Zanzibar wakati anasikilizia simu za kuitwa jijini Dar es Salaam. Gamondi amemaliza mkataba aliokuwa nao na Yanga baada ya kuiwezesha kutetea ubingwa wa…

Read More

APR yamvutia waya winga Yanga SC

KLABU ya APR ya Rwanda imevutiwa na huduma ya nyota wa Yanga, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ na tayari imefanya mazungumzo naye ili aweze kwenda kuiongezea nguvu timu hiyo kwa msimu ujao wa mashindano nchini humo na anga la kimataifa. Skudu aliyejiunga na Yanga mwaka jana akitokea Marumo Gallants ya Afrika Kusini baada ya kuvutiwa naye zilipokutana…

Read More

Wabunge Marekani waguswa uhifadhi Ngorongoro

Wabunge wa Bunge la Wawakilishi la Congress kutoka nchini Marekani wamepongeza juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro hususan utunzaji na ulinzi wa wanyamapori adimu kama faru wakiwa katika maeneo yao ya asili.  Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Maliasili kutoka bunge hilo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo…

Read More

NIONAVYO: Kuondoka kwa Mayele kuliijenga Yanga

VICHWA vya habari vya vyanzo mbalimbali vya habari za michezo juma hili vimegubikwa na habari za uhamisho wa wachezaji mbalimbali hapa nchini. Habari hizi zinaongelea zaidi nani anatoka na nani anaingia hasa katika klabu kubwa za Yanga na Simba. Azam ambayo imekuwa bize na usajili hata wakati ligi inaendelea haifuatiliwi sana na hivyo wanafanya mambo…

Read More

SPOTI DOKTA: Wasiwasi unavyoathiri upigaji penalti

JUMAPILI iliyopita, Yanga ilitwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho unaodhaminiwa na Benki ya CRDB kwa ushindi wa penalti 6-5 dhidi ya Azam FC ni baada ya suluhu katika dakika 120. Mchezo huo uliopigwa usiku kwenye Uwanja wa  New Amaan Complex, Zanzibar na maelfu ya mashabiki ikiwamo waliovuka bahari kutoka Bara kushuhudia mchezo huo uliokuwa mgumu….

Read More